vunjajungu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 576
- 246
weka bei yako chief kingine nataka kujua unataka kiasi gani uwingi yaani, tupe buying price....swali la mwisho wewe ndye mnunuzi mwenyewe au?
yapo Mbinga(Ruvuma) kg 1000
Hujaweka bei yako
800-1100/kg,itategemea na umbali(transport cost)
Kwetu kigoma mwisho wa reli ndo kwao na hayo maharage kili 1000, mengi mno
mnunuzi njoo dar uweke kituo uletewe maharage hayo ya njano......
then nitayapata kwa bei gani mkuu?na yanaletwa kiasi gani?thanks.