Natafuta mahali pa kupanga Mwanyamala kwa Kopa..!!

kiben10

JF-Expert Member
Apr 28, 2018
616
789
Madali na wasio madalali naomba mnisaidie kunitafutia mahali pa kupanga hapa jiji Dar maeneo tajwa hapo juu. Bei iwe kuanzia 15-20 ila umeme uwepo pia...

Mwenye kujua basi anifate PM nitaongea nae na kupata vzr, kwani maisha sasa yamekuwa tofauti sana na Ki Ben 10.

Maeneo nimegoogle pia..

Screenshot_20191002-121545_Google-01.jpeg
 
Madali na wasio madalali naomba mnisaidie kunitafutia mahali pa kupanga hapa jiji Dar maeneo tajwa hapo juu. Bei iwe kuanzia 15-20 ila umeme uwepo pia...

Mwenye kujua basi anifate PM nitaongea nae na kupata vzr, kwani maisha sasa yamekuwa tofauti sana na Ki Ben 10.

Maeneo nimegoogle pia..

View attachment 1221481
hapo ni KomaKoma
 
tulia hivohivo kwa mwananyamala kwa hio bei chumba utakipata dakika sifuri tu, ila ikinyesha tu mvua na wewe tutakuja kukuvua kama kambale, la sivyo tutakuja kukuokotea salender bridge
 
Poa ila nahitaji kweli kweli kuishi maeneo hayo
tulia hivohivo kwa mwananyamala kwa hio bei chumba utakipata dakika sifuri tu, ila ikinyesha tu mvua na wewe tutakuja kukuvua kama kambale, la sivyo tutakuja kukuokotea salender bridge
 
Madali na wasio madalali naomba mnisaidie kunitafutia mahali pa kupanga hapa jiji Dar maeneo tajwa hapo juu. Bei iwe kuanzia 15-20 ila umeme uwepo pia...

Mwenye kujua basi anifate PM nitaongea nae na kupata vzr, kwani maisha sasa yamekuwa tofauti sana na Ki Ben 10.

Maeneo nimegoogle pia..

View attachment 1221481
hiyo bei kwa Mwananyamala huwezi kupata, labda gofu, maeneo hayo ukipata chumba kwa bei rahisi ni Tsh 40,000.
 
Back
Top Bottom