Natafuta mahali pa kujitolea kwa kipindi hiki

Kwani nani kasema naomba kazi Mimi nimeomba kujitolea maana bado nasoma so vitu kama huvijui piga kimya mwenye nafasi anipe wewe huna nafasi kaa kimya.
Hata mwenye hiyo nafasi hawezi kukupa boss, watu wanakuelekeza namna ambavyo ungetakiwa kufanya unakua mkali. We ni mgeni JF kaka kwamba huwajui watu wake?

Kila mtu ana namna yake ya kukuelekeza kitu so ungeamua tu kuutrain ubongo wako kung'amua uzuri kwenye kila situation. Kuna mjumbe hapo juu amekwambia kwamba ulitakiwa kusema PM na sio DM (sawa kaongeza maneno mengine labda yamekukera)..lakini vipi hakuna kitu cha muhimu alichokuelekeza hapo? Vipi kama ungemjibu kwa hicho tuu na mengine umuachie? Mwingine kakuelekeza kuhusu kuandika wasifu, nashangaa unampanikia!! kwani bro unahisi mwenye hiyo profession ni wewe peke ako nchi hii so watu wanakuhitaji sana? kuna graduates wangapi wapo mtaani nao wanataka hiyo nafasi ya kujitolea ndo ukawe wewe? Na usisahau kwamba wewe ndiye utakae gain hapo na sio huyo atakaekupa nafasi kwahiyo jifunze kuheshimu watu. Ujuzi tunaupata tukiwa field na sio darasani.

KIAZI WEWE!

(ona sasa ushasahau nlichokwambia, unazingatia hayo maneno ya mwisho kuliko hzo Para za mwanzo!! [emoji1] [emoji1] [emoji1] )
 
Mbona kama haupo serious hivi, wewe ni nani hasa?😀😀
 
Yaani anayekutaka aku DM hivi wwe unajua kuoomba kazi kweli wewe?
 
Hata mwenye hiyo nafasi hawezi kukupa boss, watu wanakuelekeza namna ambavyo ungetakiwa kufanya unakua mkali. We ni mgeni JF kaka kwamba huwajui watu wake?

Kila mtu ana namna yake ya kukuelekeza kitu so ungeamua tu kuutrain ubongo wako kung'amua uzuri kwenye kila situation. Kuna mjumbe hapo juu amekwambia kwamba ulitakiwa kusema PM na sio DM (sawa kaongeza maneno mengine labda yamekukera)..lakini vipi hakuna kitu cha muhimu alichokuelekeza hapo? Vipi kama ungemjibu kwa hicho tuu na mengine umuachie? Mwingine kakuelekeza kuhusu kuandika wasifu, nashangaa unampanikia!! kwani bro unahisi mwenye hiyo profession ni wewe peke ako nchi hii so watu wanakuhitaji sana? kuna graduates wangapi wapo mtaani nao wanataka hiyo nafasi ya kujitolea ndo ukawe wewe? Na usisahau kwamba wewe ndiye utakae gain hapo na sio huyo atakaekupa nafasi kwahiyo jifunze kuheshimu watu. Ujuzi tunaupata tukiwa field na sio darasani.

KIAZI WEWE!

(ona sasa ushasahau nlichokwambia, unazingatia hayo maneno ya mwisho kuliko hzo Para za mwanzo!! [emoji1] [emoji1] [emoji1] )
Kiazi wewe mwenyew huna nafasi pita kushoto
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimecheka sana huu Uzi;

Muombaji kama una roho nyepesi unaweza jukuta unatafuta kamba
 
Utakosea kuandika majina ya dawa Kama PM tu unaiandika DM herufi mbili tu unakosea kuandika kuandika majina marefu ya dawa itakuwa tatizo.Spelling Na proffession yako vina uhusiano wa karibu sana
Ndio maana ajira ni utumwa
 
Kwani nani kasema naomba kazi Mimi nimeomba kujitolea maana bado nasoma so vitu kama huvijui piga kimya mwenye nafasi anipe wewe huna nafasi kaa kimya.[/
Mimi nafasi Ninayo.. Ila kwa haya Majibu yako siwezi kukupa hii nafasi.
 
Hakuna shida kabisa mkuu yote ni maamuzi yako wewe.
 
Kunatangazo wanahitajika vijana wa kujitolea bungando hospital hujaliona??
 
Back
Top Bottom