Natafuta mahali pa kujitolea kwa kipindi hiki

clixus

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
810
616
Kama heading inavojieleza natafuta sehemu zifuatazo kujitolea pharmacies,hospitals and dispensaries na hata duka la dawa sawa tu.
 
Kwanii nsiweze kwan DM ina affect nn kwenye ujuz wangu na nmekupa maana yake
Utakosea kuandika majina ya dawa Kama PM tu unaiandika DM herufi mbili tu unakosea kuandika kuandika majina marefu ya dawa itakuwa tatizo.Spelling Na proffession yako vina uhusiano wa karibu sana
 
Kuna uhusiano sawa lakini ujue typing error zipo mkuu na hazihusian na dispensing errors kabisa kwa hapa.
 
Kwani hizo errors zimejitype si umetumia Mkono wako kuandika ?Usiziite typing errors ni unprofessional ziite your errors kuwa professional ni pamoja Na Ku admit your errors Wewe sio professional
 
According to you Mimi sio professional sawa ila hujui kilichopo kichwani mwangu kuhusiana na hyo pharmacy practices kama unataka thibitisha ilo nipe nafasi uone kama unayo na kama huna nkutakie majukumu mema ya kulijenga taifa mkuu.
 
Wasifu Mimi mfamasia contacts siwezi toa hapa ambaye ataweza nipa nafasi ana ni DM

Mkuu umesoma chuo gani na umemaliza mwaka gani degree ya Pharmacy..Nitakuunganisha na mkuu wa Idara ya Famasi pale MNH ukafanye pale
 
Mkuu inabidi nkutafute maana hilo zaidi ya shavu.
 
Kama heading inavojieleza natafuta sehemu zifuatazo kujitolea pharmacies,hospitals and dispensaries na hata duka la dawa sawa tu.
watu kama wewe huwa mnachefua sana na matangazo yasiyoeleweka, yani kama sio msoni vile, kujieleza hujui nani atakupa hiyo nafasi hata kama ipo
 
Mkuu tangazo haliandikwi hivyo, wasifu wako hukuna, contacts hakuna
kuna haja vyuoni ile last semester wawe wanafundisha finalists namna ya kuandika cover letter, CV na application letter
 
watu kama wewe huwa mnachefua sana na matangazo yasiyoeleweka, yani kama sio msoni vile, kujieleza hujui nani atakupa hiyo nafasi hata kama ipo
We kama huna nafasi pita kushoto sihitaji povu lako hapa
 
kuna haja vyuoni ile last semester wawe wanafundisha finalists namna ya kuandika cover letter, CV na application letter
Kwani nani kasema naomba kazi Mimi nimeomba kujitolea maana bado nasoma so vitu kama huvijui piga kimya mwenye nafasi anipe wewe huna nafasi kaa kimya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom