Natafuta mafundi wazuri wa kompyuta

Laptop yangu inahitaji service ya hardware, haswa keyboard. Wanapatikana wapi?
Dah heading hiyo imenifanya nifungue haraka hii topic kumbe!Sio mafundi ungema fundi!!!!Yani karibu nianze kutuma Company Profile ni kijua ni tenda ya uhakika!! Popote ulipo tafuta palipo na chuo cha Veta wapelekee kazi ya dk kumi tu!
 
nani kakuambia popote kuna chuo cha veta mafundi wapo? Una jua ana laptop model gani? Siyo kila laptop fundi anaweza kukurupuka kuifungua mpk akatoa keybod cha msingi hapa ni fundi mwenye uzoefu wa muda mrefu na ambaye amefungua sana laptop nitafute kwa pressdown@hotmail.com
 
Laptop yangu inahitaji service ya hardware, haswa keyboard. Wanapatikana wapi?
Mkuu mie naona uge specify au uge ongeza detail zaidi apo kwny maelezo yako haswa service ya hadware ndio ya aina gan pia ugeweka details za latop yako sio kuulizia mafundi wanapatikana wapi unaweza ukasaidiwa apa apa au ukapewa ushauri ufanyaje utatue mwenyewe weka mambo wazi zaidi ni ayo 2 MKUU!
 
bila shaka. Ni dell latitude e6400. Keyboard zake 2 zimebanduka. Na kibati cha spika moja kimeharibika hivyo nilikiondoa. Natafuta replacement pamoja na fundi wa kunirekebishia hii kitu.
 
Desktop Kompyuta na laptop computer ni vitu tofauti kabisa linapokuja suala la ufundi japo principle za utendaji kazi zake ni zile zile. Just nte sioo kila fundi wa kompyuta anaweza kuwa fundi mzuri wa wa laptop lakini kila fundi mzui wa laptop anaweza kuwa fundi mzuri wa kompyuta.

Na inategema ina tatizo gani. kama ni HDD hiyo sio kazi sana lakini kuna mtatizo mengine fundi anahitaji uzoefu wa brand. eg kidogo nina uzoefu na HP.

But kuna video tutorial youtube nyingi tu mtu anawez kujaribu kwenye latop yako. Labda sema service ya hardware gani hasa ina kasheshe?
 
Desktop Kompyuta na laptop computer ni vitu tofauti kabisa linapokuja suala la ufundi japo principle za utendaji kazi zake ni zile zile. Just nte sioo kila fundi wa kompyuta anaweza kuwa fundi mzuri wa wa laptop lakini kila fundi mzui wa laptop anaweza kuwa fundi mzuri wa kompyuta.Na inategema ina tatizo gani. kama ni HDD hiyo sio kazi sana lakini kuna mtatizo mengine fundi anahitaji uzoefu wa brand. eg kidogo nina uzoefu na HP.But kuna video tutorial youtube nyingi tu mtu anawez kujaribu kwenye latop yako. Labda sema service ya hardware gani hasa ina kasheshe?
mkuu ukinisoma hapo kwa juu utapata picha. Na zaidi pia hard disc inakoroma wakati na wakati
 
nani kakuambia popote kuna chuo cha veta mafundi wapo? Una jua ana laptop model gani? Siyo kila laptop fundi anaweza kukurupuka kuifungua mpk akatoa keybod cha msingi hapa ni fundi mwenye uzoefu wa muda mrefu na ambaye amefungua sana laptop nitafute kwa pressdown@hotmail.com

Aaah! mkuu naona unajipigia chepuo...... Tatizo hizi taaluma kwa bongo zina dharaulika sana kama vile mafundi simu!
 
Pia nikipata maelekezo ni wapi hapa town kuna duka wanauza vifaa vya dell itasaidia sana
 
Back
Top Bottom