Natafuta Maduka/Supermarkets za kuwauzia UNGA WA DONA NA SEMBE

Melvine

JF-Expert Member
Apr 3, 2013
697
1,303
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Tunauza UNGA WA DONA na SEMBE kwa Jumla na Rejareja kwa packages zifuatazo;
kg 5
kg 10
Kg 25 na kg 50.

Pia kuna MCHELE kwa vile oda yako unavyotaka e.g kg 1 mpaka TANI n.k

Kwa mawasiliano zaidi piga namba
+255 716 474435 au +255 764 446201

THANKS IN ADVANCE.
 
Malizia tangazo lako basi, wapi upo au supermarket za wapi mkoa gani?
 
Mkuu acha Ubahili, tangazo lako lingewatambua madalali nao wahusike na utawapa kimgao chao
 
Back
Top Bottom