Plot4Sale Natafuta madalali au wale wa kufaulisha

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,218
39,054
Wakuu salama? Kuna nyumba nauza haijakamilika natafuta mteja. Nyumba na kiwanja vipo DSM kama kuna mteja serius karibu PM kwa taarifa zaidi.

Eneo: mbezi makabe mpakani, kiwanja kina 45x45sqm. Nyumba ina sebule kubwa na dining, masters 2, single room 2, jiko na store bila sahau public toilet. Bei ni 60million ila maelewano yapo kwa mteja serious,

Kama upo tayari kwenda kuona karibu PM kwa maelezo zaidi. Naombeni msaada wa madalali ndugu zangu dalali mwaminifu ambaye tutafanya kazi vzr
 
Back
Top Bottom