Natafuta machine za karanga

Natafuta machine za karanga

Vivac

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2015
Posts
475
Reaction score
483
Hallow, naombeni unisaidie kuna zile machine za kusagia karanga zilizokaangwa, kwa watu wa Mwanza wanazifahamu sana.

Napenda nijulishwe bei yake na zinapopatikana. Mie nipo Mwanza. Nisaidieni tafadhali.

 
Nenda kwenye maduka wanayouza vyombo utazipata
 
Mkuu kama unahitaji mashine kubwa nakushauri uende SIDO hapo Mwanza naamini watakupatia msaada mkubwa sana tena kwa bei nafuu.
 
Back
Top Bottom