Natafuta machine ya kukata nyama

Natafuta machine ya kukata nyama

Mazengo

Member
Joined
Feb 9, 2011
Posts
30
Reaction score
17
Wakuu ninatafuta machine ya kukata nyama (Bones cutter machine) kwa ajili ya butcher langu. Ninaihitaji sana. Hivyo kama kuna mtu anauza au kama kuna mtu anajua zinapouzwa hada dar naomba anijulishe kwa kuni-PM. Thanks!
 
Back
Top Bottom