natafuta machine ya koni na pop corn

neyl

Senior Member
Nov 23, 2011
127
19
habari wadau, jaman mimi nina shida ya machine ya koni yaan ice cream na pop corn ila ktk pitapita zangu cjawah bahatka kuziona dukani kwa mwenye details where i can get them na bei zake labla
 
habari wadau, jaman mimi nina shida ya machine ya koni yaan ice cream na pop corn ila ktk pitapita zangu cjawah bahatka kuziona dukani kwa mwenye details where i can get them na bei zake labla

Elezea na ufafanue vizuri basi ili watu wakupatie bei, eg yenye ukubwa gani? au ya kichinachina au UK, India..hayo ya Pop corn niliwahi yaona Mjini Dar sikumbuki ni wapi wala bei yake lakini ni mengi tu
 
Back
Top Bottom