Natafuta machimbo ya vizigo

akatiwanya

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,233
Reaction score
1,418
Amani na utulivu iwaangazie wana JF: Ndugu zangu katika Imani kwa heshima na tahadhima naomba mwenye kujua masoko ya jumla ya vichwa, shingo, firigisi na miguu ya kuku wa kizungu (VIZIGO), anielekeze nende nikasombe nataka kusafirisha mkoani kibiashara.

Ahsanten.
 
Uko wapi?
 
KUKU kabisa?? Au ni code mimi sijaidecipher ..!!
 
Masoko yapo ingawa co kwa ukubwa uo, hata ivyo Lindi ni kubwa na mimi naenda wilayani then vijijini mana nime target maeneo yenye ukame na kitoweo. Nitakurudia nikupe mrejesho.
Nqkuachia namba yangu huko pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…