Natafuta lotion nzuri ya kurudisha ngozi asili

Hiyo inafahamika Kama Clare difference ya USA hiyo... Ila haichubui zaid ya kusoftisha ngozi tu..... Kwa mfano ukitaka ung 'ae kidog tu unaweka na makali ambayo inauzwa laki tatu na nusu..... Hiyo yenyew 80
jibu swali mkuu
ila kwa maoni yangu hizi product zako hazimfai mleta mada.japo ni nzuri.tuwe wakweli
 
MI namshauri tu afike pale dukani Dada angu nakwambia atakuja kukupa mrrjesho apa ......na Mimi nimepewa tu hizo picha za mafuat ili niwe natangaza lkn Nipo bize na chuo dat y sijamaster Sana lkn akifika pale atakutana na sister namhakikishia atarudisha ubora wa ngozi Kama zaman.... Kujichubua zilipendwa siku izi af ni ushangingi pia ko namshauri afike pale au apige hiyo namba
 
sijasema mafuta yako mabaya.ni mazuri sana sana mkuu mimi najua ila kwa case ya huyu anaitaji kurenew skin haitaji toning products.mimi nauza vipodozi pia najua mambo ya vipodozi sana ndo field yangu
 
Kwahiyo mtu mmoja unapaka mafuta kwa 350,000/=???

Hahahah... Wanawake mna mambo mengi Sana aiseee... Mbonaa kawaida hiyo hata ukienda dar fee market pale utakuta lotion za laki saba..... Sa bora lotion siku nimetumwa na sister kuchukua wig sijui weaving la laki tano ilibaki kidogo nitimue nazo mbio zile hela mana ni Ujinga tu
 
kuna lotion hadi za milioni hapa hapa bongo .kuna duka lilikuwa kinondoni naona kafunga siku hizi jackies cosmetics pale sabuni tu laki .
 
sijasema mafuta yako mabaya.ni mazuri sana sana mkuu mimi najua ila kwa case ya huyu anaitaji kurenew skin haitaji toning products.mimi nauza vipodozi pia najua mambo ya vipodozi sana ndo field yangu
Yani simanish ivo tu nilivotuma hapo ndo vinapatikana hapana...... Dada miss natafuta nimewashuhudia pale kwa sister angu watu wanaorenew ngozi wengi tu na matokeo yalikuwa mazuri.... Achana na hizo toning lkn kuna lotion nyingi tu pale
 
wewe umeweka picha ya toning ndo shida .sasa akienda pale atasema apewe hyo itazidi kumngarisha tena .wewe mwambie afike dukani kwenu kuna tiba.tunaeleweshana tu mkuu sio kwamba nimeponda vipodozi vyako.unajua kila mtu kuna kitu anataka,wengine wanataka kujichubua wawe weupe,wengine wangae tu,wengine kurudisha ngozi zao.so inatakiwa ujue mtu anataka nini
 
sijasema mafuta yako mabaya.ni mazuri sana sana mkuu mimi najua ila kwa case ya huyu anaitaji kurenew skin haitaji toning products.mimi nauza vipodozi pia najua mambo ya vipodozi sana ndo field yangu
Hivyo vipodozi vyako una vitengeneza mwenyewe ? Kitu kama cha Ray c teh teh maana naona umeshangaa lotion kuuzwa laki tatu
 
OGA VZR NA UTAKATE, MAANA KAMA HAUOGI VZR KAZI BURE HATA UPEWE MAJINA 1000 UTAZIDI KUWA KAMA GIZA
 
Kuna mdau kwenye comments kashauri anything with Shea butter. Nionavyo Huo ndo ushauri best. Ukiweza tafuta ile yenyewe organic Shea butter.

5933fd3fe66c2d9153d3d8f73fd996fa.jpg
 
Back
Top Bottom