Natafuta lodge Bagamoyo

Natafuta lodge Bagamoyo

Juma Jay

Member
Joined
Jun 22, 2016
Posts
10
Reaction score
2
Natafutaa lodge ya kulala Bagamoyo jamani, kwa wanaojua bei za lodge za huko naomba wanijuze ni jina ya lodge wanitajie, bei kuanzia elf 10 mpaka 35 isizidi hapo kabisa.
 
ukifika stand ya bagamoyo hapo mwambie boda boda akupeleke iringa lodge iko na mazingira tulivu kweli bei ni elfu 20
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom