Wajameni, heshima yenu! Naomba mwenye kujua wapi naweza kupata Liquid silicone/rubber anifahamishe. Najua Polytek ni watengenezaji wa bidhaa hii, lakini sijui kama Tanzania wana branchi. Hii bidhaa huwa inaenda in two parts say A & B, in liquid form, ukizi-mix zinatengeneza mpira/rubber.