Natafuta Liquid Rubber/Silcone

Natafuta Liquid Rubber/Silcone

Papa1

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2012
Posts
2,023
Reaction score
2,218
Heshima yenu wana janvi. Tafadhali, mwenye kujua wapi naweza kupata liquid rubber au fast curing silcone anielekeze. Liquid rubber huwa iko in two parts A & B , zikichanganywa inapata rubber.
 
Nenda kwenye duka la spea za magari au pikipiki nadhani inaitwa araldite ni glue, ila kuna nyingine ambayo ni hiyo liquid rubber hauchanganyi
 
Ninamaanisha liquid rubber sio jelly kama unazonielekeza. Hii kitu natafuta hutumika kutengeneza rubber moulds mbalimbali kwa ajili ya ku -cast vitu mbali mabali out of say gypsum or concrete. Package yake ni in lts say 200lts, 20lts, 10lts e.t.ec. Hapo kweli baiskeli inanafasi? Hii kitu 1lt is about 15USD. Endelea kunitafutia katika mtazamo huo.
 
mmh! kuna mtu nilimpa wazo la ku-cast vitu flan kwa kutumia rubber mould, alitafuta hiyo silikoni na hakufanikiwa kwa hapa tz.
 
mmh! kuna mtu nilimpa wazo la ku-cast vitu flan kwa kutumia rubber mould, alitafuta hiyo silikoni na hakufanikiwa kwa hapa tz. so i think sio rahis hapa tz jarib kwa wenzetu nje.
 
Yaani hadi silcone mnakuja kuuliza Jf!itafika kipindi mtatuuliza mle nn leo!
 
Johanesburg ipo Mkuu ukihitaji na kama upo serious niamvie nifatilie kiwandani kwao bei na wanauza kuanzia kiasi gani na wewe unahitaji kiasi gani kwa kila mwezi inafika Tanzania truck lipo la kubeba hata kiasi kidogo pia ntaangalia bei ya kununua Wakenya wananunua sana hiyo kitu...
 
Ndugu, niko serious ndio aana nimeweka janvini ilimwenye kujua source anisaidie. I need about 200lts. mahitaji mengine yatafuatia kulingana na mafanikio ya kile nataka kufanya.
 
papa 1 ok ntafatilia ntakujulisha inauzwa bei gani maana kwa 200lt ni kwa agent na si kiwandani...ntakujulisha kwa gharama za ununuzi na kusafirisha mpaka Tunduma sijajua ushuru upoje na vibali vinavyousika hapo wewe ndio ufatilie huko..
 
OK, great! Fuatilia tafadhali.
 
Mkuu nenda Mara wilaya ya butiama kijiji cha kigera etuma kwa Mzee Majaga kasundo anaduka la spare utapata tu mkuu ukishindwa ni pm
 
Ninamaanisha liquid rubber sio jelly kama unazonielekeza. Hii kitu natafuta hutumika kutengeneza rubber moulds mbalimbali kwa ajili ya ku -cast vitu mbali mabali out of say gypsum or concrete. Package yake ni in lts say 200lts, 20lts, 10lts e.t.ec. Hapo kweli baiskeli inanafasi? Hii kitu 1lt is about 15USD. Endelea kunitafutia katika mtazamo huo.
Tembelea duka lolote la Henkel watakusaidia shida yako. Kwa Arusha najua wapo ndani ya magodown ya Sido ndipo kwenye kiwanda chao na pia wana ofisi maeneo ya mjini kati
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom