Natafuta line za airtel money kwa 40,000!!

Natafuta line za airtel money kwa 40,000!!

Kwani line za uwakala zinauzwa! Mbona wanatoa bure, nakushauri fuata taratibu na vigezo fuzu kuwa wakala wa Airtel utapewa bure na zitasajiliwa kwa majina yako
 
Back
Top Bottom