natafuta laptop

utukufu

Member
May 31, 2011
34
20
mambo vipi wadau?? I am searching 4 a laptop which will help me katika kazi zangu, mimi nadeal na music programes, soo i need 1 with very quality specs, kama labda 6gb ram, 500-750gb harddisk, processor core i5, preffarably, sony viao as first option au mayb hp.. I am ready to offer 900,000, any 1 who can help please. Aksanteni sana wadau
 
hp 6730b,500gb hard drive,procesor i3,ram 4gb,webcam,fingerprint,,touchpad etc.. 700000tsh
 
hp compaq ipo ina vingi unavyohitaji!
gb 300 hdd
ram 3gb,webcamera, card reader,hdmi,17.3 lcd screen
cd+dvd player and bunner
bei ni hiyo umetaja!pm ukitaka
 
hp compaq ipo ina vingi unavyohitaji!
gb 300 hdd
ram 3gb,webcamera, card reader,hdmi,17.3 lcd screen
cd+dvd player and bunner
bei ni hiyo umetaja!pm ukitaka

asante mkuu, but spesification kidoogo zipo chini compared to the price.... Thanx alot 4 ur cooperation, but i cant accept the offer
 
si uende Game pale Mlimani City,ukachague kipenda roho,wao wanauza kwa hela ya madafu,pia palepale Mlimani city kuna duka karibu na shoprite nao wana LT nzuri tatizo wako Marekani wanauza kwa USD na rate yao nafikiri ni zaidi ya 1700 Tsh kwa USD 1
 
Dell inspiron, ram 2.0GB, CPU 2.2GHz, procesor Intel core i3, hdd 465GB,windows 7 home edition + loads more softwares. Comes with mouse, lead light, pad cooler and cleaner. Black colour. Bei 1,100,000. Kama unataka more ram unaweza kuongeza mpaka 8gb. Hii laptop ni mpya, haijawahi kutumika.
Nb: sababu ya kuuza; kuna mtu ameagiza aletewe, imenunuliwa $600 imefika hapa amebadili mawazo. Sasa nataka tu kurudisha hela yangu.
NiPm kwa mawasiliano zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom