Natafuta Laptop ya kununua

Natafuta Laptop ya kununua

whitedoug3

Senior Member
Joined
Nov 6, 2014
Posts
108
Reaction score
26
habari.. natafuta laptop ya kununua... nipo morogoro s.u.a.... kama unauzaa laptop naombaa nchek
0654766056
ammount yangu 300,000 naweza kukuongezeaaa 50,000 kulingania na uwezo wa hiyoo laptop
 
Nicheki whatsapp nina samsangu corei3 nauza bado iko poa samsang
 
sijapataa bado laptop... nipo chuo nina kazi natakiwaa kuifanyaa ndani ya alhamisi... jamani anaye uzaa laptop.... dau langu 300,000
 
sijapataa bado laptop... nipo chuo nina kazi natakiwaa kuifanyaa ndani ya alhamisi... jamani anaye uzaa laptop.... dau langu 300,000
HP ELITEBOOK 2530p
HDD 150 GB
RAM 2GB
PROCESSOR 1.87 GB
kama uko interested holla at me
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom