Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,240
- 850
Samahani wadau, najua hapa sio mahala pake. Natafuta laptop ya kununua. Muhimu sn wakuu
Samahani wadau, najua hapa sio mahala pake. Natafuta laptop ya kununua. Muhimu sn wakuu
Ni mtumba au?
Samahani wadau, najua hapa sio mahala pake. Natafuta laptop ya kununua. Muhimu sn wakuu
Ipo hp probook 6460b
500Gb hdd
4Gb ram
Processor i5
Kariakoo dar
Kwa anaehitaji mm ninayo Dell Insipron, ni nzuri sana...only serious buyer
Ina camera? Kuna mtu anatafuta laptop yenye camera
Mkuu hiyo probook bei gan
ipo toshiba 2.6ghz , Ram 4 gb, window 7 ukipenda window 8.1 utaweka 500 HD BEI Maelewano 450,000
hii yangu sio mtumba , niliinunua mpya kabisa mlimni city, ila nimepata nyingine kama week hivi nimeamua kuuza hii