natafuta laptop ya kununua

Makirita Amani

JF-Expert Member
Jun 6, 2012
1,781
3,074
natafuta laptop used iwe na sifa zifuatazo, iwe SATA na speed isipungue 2GHZ, iwe katika hali nzuri, hata kama haina RAM na hard disk nitaweka mwenyewe, bei isizidi laki mbili(200,000). kwa yeyote anayeuza anitafute kwenye 0717396253.
 
Laptop za wizi utapata Kariakoo (opposite Msimbazi Police), then eneo la Gerezani (yanapojipanga magari ya abiria ya Mbagala) au pia opposite Kariakoo Lutheran church, pia Kisutu maeneo karibu na Chef Pride...! Within 1 hr unaweza kuoneshwa laptop karibu 10 ambazo zimetoka 'jikoni' kwenye mojawapo ya vijiwe hivyo.
 
Back
Top Bottom