AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,050
kwa nini unahitaji iliyotumika wakati hilo dau linatosha kununua ambayo haijatumika ila isiyo na akili..!Habari magreat thinkers! Jamai wakuu ninatafuta laptop used kwa ajili ya matumizi madogo madogo 2, nina Tsh 300,000/= cash, so kama yupo anayeuza naomba anijuze but isiwe mbovu mbovu' Nipo serious jamani.
kwa nini unahitaji iliyotumika wakati hilo dau linatosha kununua ambayo haijatumika ila isiyo na akili..!
Wasiliana na Huyu Mtanzania ndiyo dili zake, namba : 0714/0767 - 039280
Laki 3? Cmu au laptop? Inawezekana umekosea.
Serikali ya Tanzania imejitolea kuwa kompyuta zote hazina ushuru. Na nyie bado mnatafuta komyuta used?
Naiomba serikali ipige marufuku uingizwaji wa kompyuta zilizotumika.
Jitu lilikuwa linachezea pua, linakoholea key board, linapigia ngunga, nyie bado tu? why?