crusader_jr
JF-Expert Member
- Sep 16, 2019
- 994
- 867
Duuh mkuu ani kwenye betri sijamaanisha ikiwa kwenye matumizi makubwa maana mimi matumizi yangu ni makubwa sana inaweza.ikate chaji ndani na nusu saa ila mda ipo relaxed tu kwa burudani na je kwa specification apo juu inaweza kuwa bei ganiPole Sana Mkuu, Kwa Ufundi Wangu Huu Nina Miaka 5 Sasa Kwenye Laptop Sijawahi Kuona Laptop Inakaa Charger Masaa 12 Ukiwa Unatumia.
Kwa Specification Ulizotaja Huwezi Kupata Laptop Kama Hiyo Kwa Price Yako
Goodluck
Naona sikufafanua vizuri kwenye suala betri ila nlichomaanisha kwa matumizi yale ya kawaida ila kwa mimi mtumiaji iyo.haiwezekani je sifa izo nyingine inazo izo zako na umeitumia kwa mda ganiMkuu betri masaa 12???
Anyway Mimi ninayo HP core i5
😂😂😂😂😂dah itakua nimekurupuka anyway maximum masaa mangapiHuzijui laptop, masaa 12 my gosh!
nimekujibu Mkuumkuu nmeku pm ...kuna chombo moja matata hp ina miezi mitatu tu...imenunuliwa mcity na risiti zipo..
Zipo, mfano ni hii Microsoft surface laptop.Charger Masaa 12 Ukiwa Unatumia.
bei yake iyo nikiasi gani mkuu na vipi inakizi ivo vigezo vingineZipo, mfano ni hii Microsoft surface laptop.
- Bila internet wamaliza masaa 12
- Ukiwa connected kwenye internet sio chini ya masaa 7 hadi 8
View attachment 1265145
View attachment 1265146
- Ila sio kwa hiyo bei yake aliyoweka.
Kwa bei hiyo ukipata mashine ya sifa hizo sidhani kama itakatiza mwaka.Habari wanajukwaa,ni kheri na wikiendi inaenda vyema kabisa.
Niende moja kwa moja kwenye dhumuni la uzi huu;
Natafuta laptop aina zifuatazo
-HP
-ASUS
-LENOVO;ntachukua moja wapo itayojitokeza yenye sifa tajwa hapa chini
1.intel core i3-5
2.Battery litunze chani for allmost masaa12
3.iwe na fast chager
4.isapoti 3.0 usb port au 4.0 ila hata 2.0 sio mbaya
5.hdd(GB500-1TB)
6.Ram yake iwe ni GB(4-6 au 8)
7.keyboard yake iwe inawaka hapa namaanisha iwe na feature ya rangi rofauti kwenye kiibod yake kwa wale watumiaji wa kompyuta mtanielewa
7.iwe na web camera
8.OS-windows 10 but ikiwa na linux itafaa sana
BUDGET yangu ni 400k-500k(mwisho)
Nawasilisha.
Samahani kwa matumizi mabaya ya lugha ya malikia na kiswahili chetu tukufu
"Maendeleo hayana vyama"
kivipi mkuuKwa bei hiyo ukipata mashine ya sifa hizo sidhani kama itakatiza mwaka.
Hata notebook sijawahi ona yenye kukaa na chaji masaa 12..Pole Sana Mkuu, Kwa Ufundi Wangu Huu Nina Miaka 5 Sasa Kwenye Laptop Sijawahi Kuona Laptop Inakaa Charger Masaa 12 Ukiwa Unatumia.
Kwa Specification Ulizotaja Huwezi Kupata Laptop Kama Hiyo Kwa Price Yako
Goodluck
Itakuwa anayeiuza keshaichoka kwa kuitumia au ina matatizo tayari kaipatch tu na anaitoa kwenye mfumo wake.kivipi mkuu
Asante Kwa KunifahamishaZipo, mfano ni hii Microsoft surface laptop.
- Bila internet wamaliza masaa 12
- Ukiwa connected kwenye internet sio chini ya masaa 7 hadi 8
View attachment 1265145
View attachment 1265146
- Ila sio kwa hiyo bei yake aliyoweka.
Samahani nikuombe ushauri kwa iyo budget naweza pata pc ya aina gani na sifa zake pia ila ijumuishwe na led keyboardItakuwa anayeiuza keshaichoka kwa kuitumia au ina matatizo tayari kaipatch tu na anaitoa kwenye mfumo wake.
Ila huwezi jua, unaweza pata zali la mentali.
Bei yake imechangamkabei yake iyo nikiasi gani mkuu na vipi inakizi ivo vigezo vingine
Mashine utapata kama uko dar unaweza enda fanya tafiti machinga complex ila kama utaipata basi ni used.Samahani nikuombe ushauri kwa iyo budget naweza pata pc ya aina gani na sifa zake pia ila ijumuishwe na led keyboard
Naona sikufafanua vizuri kwenye suala betri ila nlichomaanisha kwa matumizi yale ya kawaida ila kwa mimi mtumiaji iyo.haiwezekani je sifa izo nyingine inazo izo zako na umeitumia kwa mda gani