Renegade
Platinum Member
- Mar 18, 2009
- 7,959
- 8,623
Mkuu yapo maalum kwa Laptop tu? nielekeze labda nitapita siku moja nimchekie mwanafunzi wangu, huenda uko unaweza kupata ya kumsaidia kuzugia chuo, Japo hizo upande wa Internet unasumbuaga sana, zinakuwa slow.labda kwenye maduka ya laptop chakavu!