masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,211
iwe na hali nzuri,plz,naomba wiki hii hii
nitashukuru sana wajameni
nitashukuru sana wajameni
masai dada, huo utani ujue, laki 2 huwezi pata mashine nzuri bhana, otherwise iwe ya kusikilizia music na kuangalia movies
Tena kama utaangalizia movies utatumia external HDD maana specification zake loooh RAM 64MB, HDD 5GB
mmmh mkuu si kuna watu wanahitaji laki mbili na pia kuna zile ndogo
nainunua kwa ajili ya kazi za ki ofisi
ushauri- ongeza ifike atleast 4.5, utapata nzuri na itakayodumu pia
iwe na hali nzuri,plz,naomba wiki hii hii
nitashukuru sana wajameni
Tena kama utaangalizia movies utatumia external HDD maana specification zake loooh RAM 64MB, HDD 5GB
iwe na hali nzuri,plz,naomba wiki hii hii
nitashukuru sana wajameni
alafu windows 95 ukiwasha asubuhi inawaka jioni.
ushauri- ongeza ifike atleast 4.5, utapata nzuri na itakayodumu pia
Jaribu kariakoo kwenye maduka ya Used computers.si kuna ndogo zile ama
labda kwenye maduka ya laptop chakavu!Jaribu kariakoo kwenye maduka ya Used computers.
msaada hapa Jerrymalisa