natafuta laptop aina ya dell au hp

genius92

Member
Aug 29, 2012
16
1
specification angalau ziwe kama ifuatavyo....
ram....2gb na kuendelea
processor....2.5 na kuendelea
hdd....200 na kuendelea!!
email yangu hii hapa...jonx.palx@gmail.com....bei iczidi 350000
 
genius92 mia nne utapata
hp 630
dual core 2.00 ghz
2GB RAM
300GB HDD
mint condition, bado hali safi kama mpya vile

PM kama upo interested (a.town only)
 
Last edited by a moderator:
mliman city pale nliziona nzuri dell kwa dola 650 pale ziko nyingi
buy a new product.
 
kwa specification hizo!? ela kiwango kidogo sana kama unataka nzuri hisiyo na matatizo.
:eek2:
 
watanzania tumekuwa used kwa kila kitu
sishauri sana ununue used laptop tena mikononi mwa mtu ambayo utakaa nayo miezi miwili inakuwa kimeo
bora ujifunge ununue walau mpya hata za dola 400 zipo pia pale.
tuelimike kutokuwa used kwa kila kitu wakati kwa hela aliosema anaongeza hapo kidogo anapata mpya.
kacheki pale ubungo complex kuna maduka yanauza laptops pia

Unazingua mwanangu, kwani amekuambia hajui kama madukani zinapatikana?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom