kitalolo
kama hutajali kubadili requirement zako, ninayo Toyota Hiace super custom (living saloon), 2.8, 3L engine (good engine than 1kz), 4WD, just imported from japan in Jan 2012, ideal for staff and tours, very good and mint condition
pm if interested[/QUO
Asante kwa kujibu. kwahakika nahiaji hiyo hiyo land cruiser pardo.
Asante
Inahitajika land cruiser prado sx,lx,au zx. Iliyokwenye hali nzuri ambayo haijawahi kupata madhara na iwe haijawahi kupigwa rangi. Kwa kifupi iwe sawa na imetoka japan. Ya mwaka wowote. Bei kuanzia milioni kumi na tano (15,000,000) lakini pia itategemea na hali ya gari.
Tuma maelezo yote pamoja na picha.
ikiwa Arusha au Dar itapewa kipaombele
Mkuu ninayo sema hela yako ndogo sana kwhyo hela hata verossa upati.
asante mkuuMkuu Kitaloo, huyu falaa achana nae, anapenda sana kushoboka, kila akiona tangazo la watu kuhitaji vitu kadhaa, hujidai anavyo lakini bei iliyowekwa ni ndogo, kuanzia magari, nyumba, viwanja, mpaka simu, acha nae mbwiga huyu, watu wameshamuweka kwenye ignore list zamani sana.
Inahitajika land cruiser prado sx,lx,au zx. Iliyokwenye hali nzuri ambayo haijawahi kupata madhara na iwe haijawahi kupigwa rangi. Kwa kifupi iwe sawa na imetoka japan. Ya mwaka wowote. Bei kuanzia milioni kumi na tano (15,000,000) lakini pia itategemea na hali ya gari.
Tuma maelezo yote pamoja na picha. Mkuu tembelea hapa unaweza kupata moja wapo
menejatraderstz.blogspot.com