T TM65TZ Member Joined Jul 20, 2009 Posts 15 Reaction score 0 Feb 27, 2011 #1 Nashida na gari aina ya landcruiser hzj 75/78/79 hardtop/pick-up kwenye hali nzuri tafadhali, (sitaki mkebe au ambayo imepiga tindo), tafadhali niandikia email ( bei + picha) yake. Asante
Nashida na gari aina ya landcruiser hzj 75/78/79 hardtop/pick-up kwenye hali nzuri tafadhali, (sitaki mkebe au ambayo imepiga tindo), tafadhali niandikia email ( bei + picha) yake. Asante
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,886 Feb 27, 2011 #2 kuna moja $42000, hzj79,double cabin,macho panzi......vipi nikupe mchongo?
BONGOLALA JF-Expert Member Joined Sep 14, 2009 Posts 16,511 Reaction score 11,917 Feb 27, 2011 #3 nenda ofisi za unhcr kasulu zipo kibao!
T TM65TZ Member Joined Jul 20, 2009 Posts 15 Reaction score 0 Feb 27, 2011 Thread starter #4 Kweli,kule labda zipo lakini wanuza?? bei?? siyo nasafiri kwenda kule kwa kusikia tumemaliza kuuza :decision: mzee....
Kweli,kule labda zipo lakini wanuza?? bei?? siyo nasafiri kwenda kule kwa kusikia tumemaliza kuuza :decision: mzee....
S saq JF-Expert Member Joined Aug 12, 2011 Posts 268 Reaction score 12 Sep 3, 2011 #5 Ninayp Landcruiser Hardtop, 5 door. 5cylinder. Diesel, will good condition. Price- 18m pm kama upo interested
Ninayp Landcruiser Hardtop, 5 door. 5cylinder. Diesel, will good condition. Price- 18m pm kama upo interested
Amoeba JF-Expert Member Joined Aug 20, 2009 Posts 3,288 Reaction score 793 Sep 3, 2011 #6 saq said: Ninayp Landcruiser Hardtop, 5 door. 5cylinder. Diesel, will good condition. Price- 18m pm kama upo interested Click to expand... Jamaa kasema PickUp, au unatesi zali kama wasemavyo vijana? lol
saq said: Ninayp Landcruiser Hardtop, 5 door. 5cylinder. Diesel, will good condition. Price- 18m pm kama upo interested Click to expand... Jamaa kasema PickUp, au unatesi zali kama wasemavyo vijana? lol
U ureni JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 1,261 Reaction score 530 Sep 3, 2011 #7 Mkuu kama unaishi Arusha au Moshi hizo gari achana nazo kabisa kama unataka kuishi maisha marefu majambaz wa magari watakuua
Mkuu kama unaishi Arusha au Moshi hizo gari achana nazo kabisa kama unataka kuishi maisha marefu majambaz wa magari watakuua
Mzee Platinum Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,620 Reaction score 5,868 Sep 4, 2011 #8 ureni said: Mkuu kama unaishi Arusha au Moshi hizo gari achana nazo kabisa kama unataka kuishi maisha marefu majambaz wa magari watakuua Click to expand... <br /> <br /> dah.
ureni said: Mkuu kama unaishi Arusha au Moshi hizo gari achana nazo kabisa kama unataka kuishi maisha marefu majambaz wa magari watakuua Click to expand... <br /> <br /> dah.
Amoeba JF-Expert Member Joined Aug 20, 2009 Posts 3,288 Reaction score 793 Sep 4, 2011 #9 ureni said: Mkuu kama unaishi Arusha au Moshi hizo gari achana nazo kabisa kama unataka kuishi maisha marefu majambaz wa magari watakuua Click to expand... Hahahaa, haya mawazo mengine bana!
ureni said: Mkuu kama unaishi Arusha au Moshi hizo gari achana nazo kabisa kama unataka kuishi maisha marefu majambaz wa magari watakuua Click to expand... Hahahaa, haya mawazo mengine bana!