kuna jamaa anaiuza hapa kigoma bei ni 20 m. kama unataka niambie nikuunganishe naye
Mkuu haya magari yapo tofautitofauti kwa bajeti yako utapata zile leave spring za kuanzia 1999 kushuka chini ila ukitaka ya ukweli zile coil spring front jipange kidogo ila hiyo 20 kwa zile za zamani bado watakuwa wamekushika