Ukiwahitaji tuwasiliane tu nitakuletea hadi hapo kamanga ferryNdugu Majaribu Mwanza Sehemu gani.
cheki inbox mkuuNdugu Majaribu. Niko kwenye hatua za mwisho za kukamilisha mabanda. Nitakuja Mza nipe Cell no yako.
Ahaa ahaa hii ni shida mkuu.Ngoja tumsikilizie labda hela haijatimia.jf hakunaga wanunuzi ..kuchi kampata analeta habar za mabanda khaaa
Kuchi ni adimu sana mzee,wanakwenda kwa oda.Changamka sasaNdugu Majaribu. Niko kwenye hatua za mwisho za kukamilisha mabanda. Nitakuja Mza nipe Cell no yako.
jf hakunaga wanunuzi ..kuchi kampata analeta habar za mabanda khaaa
Maneno ya huyo jamaa yana ukweli pia.Biashara za humu zinahitaji roho ngumu sana,kwani watu wengi wanaishi kwa kufuata mkumbo tu.inavyo kuuma utadhani weyee ndiyee mwenyee kuku khaaa
Mkuu me naitaji awo kuch 2 ata kesho tufanye biashars nipo darManeno ya huyo jamaa yana ukweli pia.Biashara za humu zinahitaji roho ngumu sana,kwani watu wengi wanaishi kwa kufuata mkumbo tu.
Nicheki pmHabari ndugu zangu. Naitwa Mwl Madnja RF nipo Sengerema. Natafuta kuku aina ya kuchi, wale wasio na manyoya mengi, wenye mdomo mfupi sana. Pia soko lake likoje? Mwenye nao tuwasiliane kwa Whatssap kupitia 0757957925