Natafuta kozi

tanje

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
251
Reaction score
41
HABARI wanaJF..nahitaji kujua kwa mwenye kujua wapi ntapata mwalimu wa uhakika anayefundisha JINSI YA KUFLASH SIMU AINA ZOTE?..ada tsh ngapi?na unafuzu kozi baada ya siku ngapi?ASANTENI
 
HABARI wanaJF..nahitaji kujua kwa mwenye kujua wapi ntapata mwalimu wa uhakika anayefundisha JINSI YA KUFLASH SIMU AINA ZOTE?..ada tsh ngapi?na unafuzu kozi baada ya siku ngapi?ASANTENI

Walimu Wazuri Unaowataka Wewe Wanapatikana Sana Katika Vituo Maarufu Vya DALADALA Vifuatavyo Na Hawataishia Tu Kukufundisha Jinsi Ya Kuflashi Kama Utakavyo Bali Watakuelekeza Pia Hadi Jinsi Ya Kupiga " NDOLE " Kuiba Simu.


  • Manzese
  • Mwenge
  • Mtongani
  • Buguruni Chama / Rozana
  • Ubungo
  • Kawe Ukwamani
  • Tegeta Kwa Ndevu

Ukikosa Walimu Wazuri Na WALIOTUKUKA Katika Hayo Maeneo Tajwa Hapo Juu Basi Utakuwa Huna Bahati Na Tafuta Tu Ustaarabu Mwingine.
 

asante kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…