UngaUnga JF-Expert Member Dec 28, 2014 1,724 1,463 Mar 15, 2016 #1 Nipigie kama una kontena la 20feet, ofa 1,500,000 bei inaweza kuongezeka kulingana na ubora wa kontena lenyewe
Nipigie kama una kontena la 20feet, ofa 1,500,000 bei inaweza kuongezeka kulingana na ubora wa kontena lenyewe
N Nyamulekwetu Member Feb 17, 2016 38 11 Mar 15, 2016 #2 Huez pata kontena ya futi 20 kwa bei hyo,bei hua inaanzia milioni tatu na nusu mpka tano.