Natafuta "Konki" wa Idara hii

Aisee watu mnatembea.
 
Katika Hawa wote ni yupi anaweza kunipa dawa ya kutoonekana.
 
Jamaa mm nakwambia kweli kabisa, nenda kama upo Moro panda mabasi yanayo toka dar--geita Shuka katoro, Kisha ulizia gari za butundwe kwa babu, boda au vile vigari wishi wana pajua vizuri, lakini yeye hataki hela.

Kwanza huna hela ya kumpatia kama Marais wana tibiwa wewe uta mpatia nini, lakini ukifika usipo mkuta ni lazima kulima wakati una msubilia aje, kuna watu kibao zaidi ya 200 kila wana subilia huduma.

Mm nili kuwepo jana nime ondoka leo ni uhakika ni kuzingatia mashatiti nayo ni 4 hivi au 5, sasa hivi nipo kwa gari naelekea dar, mtu asije DM kwangu nime toa maelekezo ya kutosha kabisa.

Nb. Kama utahitaji maelekezo ulizia hapa hapa ili wengi wanufaike.
 
Hakuna mganga aliyebobea kwenye kila kitu, ndio maana kuna msemo kwamba mtu haponi kwa mganga mmoja tu.
 
Mkuu hii kazi mimi ndio kiboko sasa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Mganga ni kabila gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…