Natafuta kiwanja, shamba

Natafuta kiwanja, shamba

Joined
Jul 30, 2019
Posts
69
Reaction score
32
habari Za Leo wadau wangu ....Jamani mm ninashida na kiwanja maeneo ya kibaha kiluvya hata vikiwa viwili nitashukuru Sana Sana au kama SHAMBA lipo maeneo hayo kuanzia heka 3 na KUENDELEA aliyetayari anayejua muuzaji animal pm anipe offer. Asanteni
 
Mkuu punguza mchecheto umekosea jukwaa
 
Mkuu kwanini usitafute eneo lilopimwa upate hati yako na uhakika wa neighbourhood nzuri. Huko Kibaha makampuni mengi ya upimaji yamepima viwanja.

Asante mkuu Kwa ushauri wako nami nitaufanyia kazi hakika. Japo sijayajua hayo makampuni Bado huko k/baha
 
Hapana sipo Kibaha.. ila nina interest uko, njoo pm nikupe namba ya wahusika wa kampuni inayo fanya hizo kazi.
 
Back
Top Bottom