Natafuta kiwanja kiwe maeneo yeyote from Tegeta to Mapinga.
Budget 8 milion.
kama huna huuzi kiwanja please igore this advert.
Kuna wa2 humu ndani wanapenda sana kejeli
utasikia, Milioni nane nenda mabwepande!!
milioni nane nenda Kiluvya na mengine mengi.

Njia ya Bagamoyo kumbe dili
Tunaambiwa tuchangamkie fursa kila zijitokezapo, wewe wasubiri nini? Wazee wa kuona mbali tayari washaanza kuzichangamkia hizo fursa.
VIVA BANDARI YA BAGAMOYO 2017.
Port of Bagamoyo.. ( Bandari kubwa kuliko zote africa mashariki na kati ) the East african hub is coming 2017..
Naona wazee wa kuona mbali mshaanza kusaka viwanja.. Ngoja nami nijilipue na mkopo nizame zangu bwagamoyo kusaka ardhi
Mkuu unataka plot ya barabarani kabisa? Kama unahitaji kama 1km from Bagamoyo road, niPM uwe jirani yangu Mapinga!mmeku nilisahau kuweka na hii kuwa kama unamjua anayeuza nijuze tafadhali