Solarpanel
JF-Expert Member
- Oct 9, 2012
- 235
- 38
Habari wana jamvi,nimeona hapa ni mahali sahihi,kwa wenyeji wa moshi naomba mnisaidie kupata kiwanja,kwanza mnishauri mahali pazuri ni wapi,mimi apendelea zaidi mjohoroni,msaranga au bonite.nina milioni nne kamili.asanteni
madalali nipotezeeni tafadhali,nahitaji kununua bila dalali
madalali nipotezeeni tafadhali,nahitaji kununua bila dalali