Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 3,820
- 1,879
Magomeni hapajanichosha, ila kubadili mazingira si vibaya.
Natafuta kiwanja Mbezi Beach.
Gharama ya kiwanja 5 milioni TZsh, tunaweza kuzungumza vile vile.
Ukubwa wa kiwanja si ajenda kubwa.
Ni wale watu makini katika swala hili tu ndio waje na maoni yao.
Asanteni.
Jamani si utani, hebu niambieni wastani wa bei za viwanja huko Mbezi Beach.Kwa pesa hizo unaweza kupata kiwanja Magomeni ulipopachoka au Tandale?
Mara ya mwisho kusikia viwanja vya 5M Tz shs Mbezi Beach ilikuwa late 1980s na mwanzoni mwa 1990s
Nadhani usiogope kwenda bunju ,mpiji,kerege au mapinga.kwa hela hiyo utapata kikubwa tu.Usiogope umbali jiji la Dar linakua kila siku.Nasikia hata Sinza zamani ilikuwa msitu na watu walikuwa wanakataa viwanja,lakni cheki sasa palivo expensive.
usiwe na wasiwasi hata laki tano unapata contact me i can assist to have a urge plot
Yes, yupo serious....sehemu kama Kahama, Ileje, n.kMkubwa upo serious na hiyo ya laki 5 ni sehemu gani??
Nawashukuru nyote kwa maoni, ushauri na mapendekezo yenu.Milioni 5 kiwanja kikubwa Bunju? You can't be serious. Mbezi Beach kama huna above 25m wala usijisumbue!
Yes, yupo serious....sehemu kama Kahama, Ileje, n.k
u r not serious, laki 5??usiwe na wasiwasi hata laki tano unapata contact me i can assist to have a urge plot
usiwe na wasiwasi hata laki tano unapata contact me i can assist to have a urge plot