Natafuta kiwanja Mbezi Beach Juu, Kunduchi, Salasala, Boko

Natafuta kiwanja Mbezi Beach Juu, Kunduchi, Salasala, Boko

Ayster

Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
42
Reaction score
8
Mwenye kiwanja au taarifa za kuuzwa kwa kiwanja maeneo yote ya barabara ya bagamoyo; mbezi beach, salasala, kunduchi hadi boko tafadhali nijulishe.
 
viwanja boko/ununio kuanzia mil 40 mpaka mil 500 contact me for further details.
 
Kuna kiwanja kipo Kisauke Madale. Ni miguu 20 kwa 20 kinauzwa mil 13. Umeme, maji yapo 1415124889714.jpg1415124865066.jpg picha zilipigwa ovyo..Nipo Dar 0715553166
 
Njoo ukicheck changu kipo Salasala Kinzudi sqr meter 800 bei 12m pia naweza kukata 20x20m
 
Back
Top Bottom