Natafuta kiwanja kilichopimwa Kigamboni Gezaulole

Natafuta kiwanja kilichopimwa Kigamboni Gezaulole

Changamoto2015

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2012
Posts
773
Reaction score
316
Kama unakiwanja chenye title deed maeneo ya gezaulole kilicho jirani na miundombinu ya umeme na maji tafadhali ni pm tufanye biashara.

Nikipata kuanzia sq. Metres 1000 nitafurahi. Bajeti yangu ni milioni kumi tu kumaliza kila kitu.
Tafadhali sana sihitaji dalali, nataka kununua kwa mmiliki moja kwa moja.

Napenda mtu atakayekuwa na muda tufuate taratibu za kufanya transfer kisheria endapo tutaridhiana kwenye malipo.
 
Sijakuelewa mkuu unaweza kufafanua? Unamaana nikukatie elfu ishirini kama commission ya kunianganishia kibada au niongeze dau hadi kufikia milioni ishirini ili nipate kiwanja cha kibada?
20 nikuunganishe Kibada
 
Nashukuru kwa ufafanuzi mkuu, bahati mbaya bajeti yangu ndogo haifiki huko. Na ndio maana nimeogopa hata ku deal na madalali maana najua wanatabia ya ku inflate bei ili wapate mgao wao.

Nasubiri huenda akajitokeza mtu mwenye kuuza sambamba na bajeti yangu.
Yeah hiyo bi bei ya kiwanja chenyewe
 
nenda manispa ya temeke kuna viwanja vimepimwa tayari kuuza
 
Viwanja vingi vilivyopimwa ni kuanzia milioni 18-20,

Mbutu mbarajange vipo, jirani na Dege kwenye mradi wa NSSF/Iqibar
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom