Natafuta kiwanja Kibaha maili moja

Jugado

JF-Expert Member
Oct 28, 2021
1,449
3,135
Kisiwe mbali na lami, yaani isizidi 3km.

Ukubwa usipungue 30×35 au around hapo.

Kiwe tambarare.

Pesa ipo kwenye mfuko wa shati. (Kama bei itakuwa reasonable).
 
Maili Moja kuna sehemu inaitwa Muheza, about 2-3 km from main road. Vipo vingi tu vya 3 to 5M, ila kuna kimoja kutokana na maelezo yako huenda kikafuaa bei ni 7.5M
 
Umeshapata kiongozi?
Kipo kimoja square metres 2580,Kibaha Maili moja,Loliondo Karibu na Bandari Kavu
Umeme upo,nguzo ipo kiwanjani
Hati ya Serikali ya Mtaa
Bei 25M(Maongezi yapo)
Mawasiliano +255683157283
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom