Natafuta kiwanja Goba au Madale

Natafuta kiwanja Goba au Madale

Voldemort

Member
Joined
Jul 4, 2019
Posts
19
Reaction score
45
Wadau, natafuta kiwanja chenye sifa hizi:

1. Vipimo: 500-600 sqm
2. Location:Goba au Madale
3. Kiwanja kiwe flat na ardhi isiwe na maji maji
4. Documents ziwe clean na zimekamilika

Offer yangu ni milioni 22 mpaka 24.
 
kwa vigezo vyake ndio hawezi kupata kwa hela hiyo ila Goba hadi 10M unapata
 
NILIMTUMIA MDAU PM ILA KWA FAIDA YA WENGI
Eneo / MradiBei (TSh/m²)Bei kwa 600 m²Goba Kulangwa (Mnadani)~45,000~27 milioniMakazi Mapya ~57 milioniGoba Njia Nne (Kings)115,000~69 milioniGoba Estate (Half London)145,000~87 milioni

TSh 57 milioni ni bei ya wastani nzuri kwa viwanja vimepimwa
Bei ya chini kabisa ni TSh 27 milioni

hizo ni bei za viwanja kwa maeneo hayo
 
Mkuu tuongee biashara hyo mnadani kwa bajeti ya 40m
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom