Natafuta kiwanja cha milioni 4 Dar, nitapata wapi?

Kuna mtu anauza ekari moja (64m x 64m) kwa milioni nne.Eneo lipo Kiluvya Makurunge (15 km toka Morogoro Rd).Ana eneo kubwa hivyo anauza kuanzia ekari moja. Eneo ni pori hivyo linamfaa mtu anaye plan kuanzia miaka 3 na kuendelea.Kama unahitaji ni PM
 
Mkuu Kiluvya ipi hyo, ni mbele ya kwa Sumaye??
 
Standard size ya kiwanja ni mita (20 by 20) sawa na sqm 400. Mil 4 dar huwezi kupata labda kama unataka kupigwa. Ila unaweza kupata mikoa jirani na dar at least 8km ndani. Njoo pm nikupe kiwanja 'kiluvya ya kisarawe'. Ni 10 min. huko da
Sio kweli. Vipo kibao hata chini ya 4M
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…