Natafuta kiwanja cha kujenga nyumba ya kawaida Dar

MENISON

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
726
Reaction score
623
Natafuta kiwanja nje kidogo ya mji wa dar ,isizidi km 25 toka mjini ,nataka kijisehemu cha kutosha kujenga vyumba walau vitano na sebule ,nina mil 2 je naweza kupata kwa hiyoo bei? wale wenye uzoefu nisaidieni kwa ushauri
 
Sehemu gan unataka name chs ukubwa gan
Pigs no 0712 016626
 
Mi naamini 25km bado upo ndani ya yamji na sio nje ya mji.
Nafikira ungetaka eneo gani au maeneo gani ungependa kupata kiwanja ingekuwa rahisi zaidi watu kukusaida.
La sio utaitwa chamber upewe viwanja vyenye migogoro.
Pia Tembelea Halmashauri za Ilala na Temeke,kujua kama wameishatoa viwanja kwa miji mipya.
Maana hawa jamaa huwa hawatangazi Redioni ili wale dili.Wakati wenzao wa Mikoani wanatoa kwenye Radio.
 
25km bado upo mjini,hapo unaongelea maeneo ya tegeta,kimara,mbezi,gongolamboto,mbagara kongowe na mzunguko huo,kwa 2m eneo la kutosha aina ya nyumba uliyosema badohaujapata,watakukatia kichochoro,anzia 4m na kuendelea.
 
25km bado upo mjini,hapo unaongelea maeneo ya tegeta,kimara,mbezi,gongolamboto,mbagara na mzunguko huo,kwa 2m eneo la kutosha aina ya nyumba uliyosema,anzia 3.5m na kuendelea.

Mbagala ni km15 hadi city center
 
Piga hii no.anauza viwanja 0688 805016,vipo kibamba,Kinondoni
 
2M hupati cha vyumba vitano hapa mjini, labda jaribu Zanzibar
 
Mbezi msumi, luis, goba unaweza pata 20x20m
Natafuta kiwanja nje kidogo ya mji wa dar ,isizidi km 25 toka mjini ,nataka kijisehemu cha kutosha kujenga vyumba walau vitano na sebule ,nina mil 2 je naweza kupata kwa hiyoo bei? wale wenye uzoefu nisaidieni kwa ushauri
 
Tena Chanika Porini,maana mie nilinunua miaka mitatu nyuma,kama mita mia mbili kutokea Stand ya lami mwisho chanika kwa 2.5m.
Sasa hivi sehem hizo ni 5m na kuendelea,ila kule mbele au ndani zaidi na maeneo ya Nzasa na Mbande huko anaweza kupata kusiko na umeme.

Changamkia chanika,ila sehem kubwa ya viwanja hawana umeme na maji,kwahiyo wewe nunua kisha utegeshe,miaka yako minee tu mji unakufikia.
Chanika watu wanajenga kwa kasi ya hatari,so usione pori ila baada yamuda mfupi ni mji
 
Natafuta kiwanja nje kidogo ya mji wa dar ,isizidi km 25 toka mjini ,nataka kijisehemu cha kutosha kujenga vyumba walau vitano na sebule ,nina mil 2 je naweza kupata kwa hiyoo bei? wale wenye uzoefu nisaidieni kwa ushauri

Nipe number yakooo mm nina viwanja vizuri kwa bei poa kama hiyo ndani ya 25km
 
Natafuta kiwanja nje kidogo ya mji wa dar ,isizidi km 25 toka mjini ,nataka kijisehemu cha kutosha kujenga vyumba walau vitano na sebule ,nina mil 2 je naweza kupata kwa hiyoo bei? wale wenye uzoefu nisaidieni

kwa ushauri
Nina kiwanja mpiji magoe 25*25 milion mbili nicheck ata kupiga pia kwa SMS unions tigo wanazingua
0712 016626
0768 122956
 
@ mama joe... Una specific contacts za mbezi au gopa? Kama unazo plz share na mimi ningependa kujua. Je uko kumepimwa?
 
Nunua kiwanja maeneo ya Mbezi kwa Msuguri (Temboni, Msingwa) na Kifuru, Dar es Salaam.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na ndugu Oswald Sh. Richard kwa simu namba :
00255784342632 au +255767342632
E-mail : cosiastore@yahoo.fr

Viwanja vipo katika maeneo yanayofaa kujenga nyumba za biashara au za kifamilia.
Bei ni makubaliano baada ya mazungumzo na mwenye kiwanja juu ya ukubwa wa eneo unalohitaji. Andaa tu michuzi ununue kulingana na mahitaji yako.
Mwananchi, au mtanzania yeyote anayehitaji habari au taarifa kuhusu viwanja hivyo asisite kuuliza au kutembelea maeneo hayo kwa uhuru kabisa.
Taarifa hii imetolewa tarehe 23/03/2014.
Ndugu Oswald Richard SH. wa Dar, Tanzania

1. Kiwanja cha kwanza kipo Mbezi kwa Msuguri, umbali wa kilomita tatu toka barabara ya Morogoro. Kiwanja hiki kipo kando ya barabara ya Msingwa ambayo ni ya changarawe na inapitika. Kina mita 30x40, pia kina nyumba ya vyumba viwili na baraza mbili. Nyumba hii ina umeme. Pia maji yanapatikana mita mia tatu toka kiwanjani. Bei yake ni Tshs. 55 milioni.

2. Kiwanja cha pili kipo Mbezi kwa Msuguri pia. Kuna umbali wa km 2 kutoka barabara ya Morogoro. Barabara ya kuelekea kiwanjani (maeneo ya mtaa wa Temboni) ni ya changarawe na inapitika. Kina ukubwa wa 1350M[SUP]2 [/SUP]
Kimepiwa na hati miliki yake ipo mbioni kutoka. Pia kina uzio wa waya. Bei yake ni Tshs. 60 milioni. Kuna maji umbali wa mita 200 kutoka kiwanjani. Umeme upo.

3. Viwanja vingine vipo eneo la Kinyerezi-Kifuru, umbali wa kilomita 1 toka barabara ya Kinyerezi-Mbezi. Hivi vipo viwanja 14. Vina ukubwa usio sawa.Vipo vya mita 22x25, 20x23, 27x23 na 20x20. Bei zake ni Tshs. 7 millioni kila kimoja. Eneo hili limefikiwa na mradi wa Serikali wa kuwekewa umeme, na wameshaweka nguzo ila bado kuweka nyaya na hatimaye kukamilisha mradi. Maji ya uhakikika kwa sasa ni kama umbali wa kilomita 2.
 
Hahahahah Duh Watu wanajuwa kupiga Mbezi kwa msuguri mil 55-60 wakati kuna mtu anauza kiwanja tegeta kwa mil 30-35 hatareeeeee mazee
 
Back
Top Bottom