Hoffman degradation
Member
- Jan 29, 2017
- 61
- 66
sijui nani atakuuzia mana wenye viti wa vijijiwote matumbo joto..ukienda kuulizia tu kwamba hapa ndo kwa mwenyekiti watu wanatoka nduki
ata mm mwenyewe ningetoka mbiosijui nani atakuuzia mana wenye viti wa vijijiwote matumbo joto..ukienda kuulizia tu kwamba hapa ndo kwa mwenyekiti watu wanatoka nduki
Usisahau kutupa mrejeshoHabari zenu wanaJF... Naomba kwa yeyote mwenye eneo kibiti au ikwiriri aniuzie... Napenda sna kwenda kuishi huko kwani nimeona kuna fursa nyingi sana za kiuchumi....
.................. Nawasilisha ombi..........
Ukipata usisahau kutupa mrejeshoHabari zenu wanaJF... Naomba kwa yeyote mwenye eneo kibiti au ikwiriri aniuzie... Napenda sna kwenda kuishi huko kwani nimeona kuna fursa nyingi sana za kiuchumi....
.................. Nawasilisha ombi..........
Yupo dalali pale NYAMISITI anatafuta sana watejaNitafute kesho