Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,085
- 8,409
Kama una kiwanja kilichopimwa na hakina mgogoro tafadhali tupia comment hapa tuelewane, msimu wa kupeleka watoto shule huu na Januari mwez dume mwenye shida na hela please tuwasiliane
kiko maeneo gani mkuu? ukubwa wake je(urefu na upana)Kipo buhogwa kimepimwa,kinakwenda kwa 14 Mill.
Kama una kiwanja kilichopimwa na hakina mgogoro tafadhali tupia comment hapa tuelewane, msimu wa kupeleka watoto shule huu na Januari mwez dume mwenye shida na hela please tuwasiliane
Inbox me nikupe full info.
huu ndio utaratibu wa kutafuta kiwanja
Kama una kiwanja kilichopimwa na hakina mgogoro tafadhali tupia comment hapa tuelewane, msimu wa kupeleka watoto shule huu na Januari mwez dume mwenye shida na hela please tuwasiliane
Huku hakuna hiyo habari, unajisevia tu kutoka kwa wasukuma!
Huko ni mwanza nako? Ukute we unasema hukoooo Mtaa unaitwa Kahama au Buhongwa mwishoni hukooo karibu na kishiri, mi mwenyeji mwanza mkuu
Viwanja vingi pqnde hizo havijapimwa!
the best you can do ni kwenda na watu wa ardhi wakusaidie kuchukua cordinates walau usijikute umenunua kiwanja ambacho ni kituo cha polisi au soko! au God forbid, barabara!
Kama una kiwanja kilichopimwa na hakina mgogoro tafadhali tupia comment hapa tuelewane, msimu wa kupeleka watoto shule huu na Januari mwez dume mwenye shida na hela please tuwasiliane
Kwa nini Unaandika U ss agara na SIO Usagara? Kwa nini ss na SIO S Moja?