Natafuta Kiwanja Arusha

Natafuta Kiwanja Arusha

Venus

Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
12
Reaction score
0
Ninatafuta kiwanja cha size (30m*40) minimum size au shamba Arusha. Nilikuwa nataka sehemu ambayo ninaweza kujenga nyumba na sehemu ikabaki kwaajili ya kuweka migomba na n.k. Naitaji sehemu isiwe mbali sana na mji na sehemu iliyotulia. Gharama isizidi 15mio. kama unacho naomba unipm hili tuwezekuwasiliana. Gharama inaweza kupungua au kuongezeka kidogo kutegemea na a
 
Mkuu unaweza pata Ekari moja kwa Tsh 15m but negotiable! maeneo ya Arusha wasiliana nami kwa 0769 002975
 
Mkuu nitafute 0757531210, nina viwanja nauza maeneo ya Mateves karibu na Arusha Airport.
 
Back
Top Bottom