SaintPetersChurch
New Member
- May 27, 2020
- 3
- 0
NATAFUTA KIWANJA , SHAMBA , ARDHI MOROGORO MANISPAA
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, natafuta Kiwanja, Shamba au Ardhi ya kununua Morogoro Manispaa.Ardhi ninayohitaji iwe aidha imepimwa (i.e Surveyed land) au haijapimwa (i.e unsurveyed land or Squatter ), isipokuwa kitu cha kuzingatia na cha muhimu zaidi IWE NA UKUBWA WA KUTOSHA NA iwe na BARABARA au iwe katika sehemu/mahali ambapo panafikika kwa uhakika kwa usafiri wa gari, pikipiki, baikseli, n.k.Miundombinu ya BARABARA NI LAZIMA IWEPO hadi kwenye kiwanja husika, hata kama kwa sasa hakuna barabara ya uhakika inayopitika kwa gari, pikipiki au baiskeli, lakini ardhi itakayotengwa kwa ajili ya kuchonga barabara hadi kwenye kiwanja husika ni LAZIMA IWEPO mara baada ya kununua kiwanja.Kwa ufupi, kiwanja au ardhi inayohitajika iwe na sifa zifuatazo:-
1. Hali ya ardhi
Iwe tayari imepimwa na kuwa kiwanja/viwanja au haijapimwa “squatter” au shamba.
2.Mahali (Location)
Ndani ya Manispaa ya Morogoro, au maeneo ya pembezone kabisa ya mipakani mwa Manispaa ya Morogoro na wilaya za jirani za Mvomero na Moro Vijijini. Kipaumbele zaidi kitakuwa katika maeneo ya Kihonda, Mkundi, Tungi/Nanenane, Tubuyu, Lukobe, Kiegeya, Kingolwira, Kola, n.k.
3.Ukubwa (Area and dimensions)
Kiwanja kiwe na Ukubwa wa angalau Mita za mraba elfu mbili (2,000), i.e. 2,000 Square metres au nusu ekari.Kwa kifupi, shamba/ardhi/kiwanja kiwe na angalau urefu wa Mita 50 na upana wa Mita 40.
NB: Wenye viwanja vyenye “size” ndogo pia wanakaribishwa, milango haijafungwa kabisa, ipo wazi kwao. Kitu cha muhimu cha kuzingatiwa kwa viwanja vyenye size ndogo tofauti na iliyoainishwa hapo juu ni “potentiality” ya kiwanja chenyewe kulingana na sifa zake zingine mbali na ukubwa wake.
4.Mwinuko (Gradient/Landform)
Kiwanja/ ardhi husika iwe tambarare kwa wastani, isiwe katika maeneo yenye mwinuko mkali sana amba.Pia, ardhi/ kiwanja husika kisiwe mbali sana kutoka barabara kuu (trunk roads) au kutoka katika barabara za mitaa (feeder roads)
5.Milki (Ownership)
Ardhi/shamba/kiwanja husika kisiwe na mgogoro wa aina yoyote ile, aidha muuzaji awe mmiliki halali wa ardhi/kiwanja husika wala siyo vinginevyo. Pia, awe tayari kuthibitisha uhalali wa umiliki wake pasi na kuacha shaka.
Nawakaribisha, wenye navyo jitokezeni.Taja/eleza sifa za kiwanja chako, mahali kilipo, na bei ya kiwanja husika pamoja na namna nitakavyowasiliana nawe.Endapo kama hauko tayari kuweka wazi mawasiliano yako hapa, unaweza ukanitumia namba ya yako kwa Private message.
Karibuni.