Kiko maeneo gani?Sakina kuna kiwanda cha plastics sijajua kama wanatengeneza hayo unayoyaulizia!
Samahani madumu ya plastic ni nini?
Galoni za litter 5 haya yakiwekea maziwa
Kama hutojali unipe contacts zaoShukran nimekipata kingine kipo njiro kinaitwa leo plastics