Son Of Light
Member
- Aug 12, 2019
- 40
- 10
Happy new year wana JF! Hope mko poa.
Ninatafuta kituo cha kurisiti mtihani wa kidato cha nne chenye gharama nafuu nimejaribu kufatilia kwenye hivi vituo vyenye majina makubwa hapa Dar kama BRITISH, MBEZI HIGH N.K nimeona gharama zao kama zipo juu ya uwezo wangu.
Likin naamin kuna vituo havijulikani lakini vinatoa huduma nzuri.
WENYE UZOEFU KWENYE MAMBO HAYA NA WILIO WAHI KUPITIA HUKO NAOMBENI MISADIE.
NIPO DAR

mbuzi kala mkeka