TEMBO WANGU
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 930
- 1,300
Wakuu habari natafuta mtu anayemweza kuniuzia kiti cha saloon cha kiume used, kiti kiwe cha kawaida sio vile vya barbar shop, maana offer yangu ni ndogo, na saloon yenyewe ni ya uswazi. offer yangu ni 50000, pia kama kunasehemu wanachongesha hivi viti vya chuma naomba unielekeze.naishi dar. asante.kwa mawasiliao PM