Natafuta kitabu: mahali pasipo na daktari

Msongoru

JF-Expert Member
Apr 16, 2008
306
24
Hiki nikitabu muhimu sana kwangu kwa sasa, nakitafuta kwa udi na uvumba! Tafadhali awezaye kukipata anielekeze please.
 
Hiki nikitabu muhimu sana kwangu kwa sasa, nakitafuta kwa udi na uvumba! Tafadhali awezaye kukipata anielekeze please.

..Kama uko Dar jaribu kwenye duka moja la vitabu samora avenue adjacent Daily News Office. Ukikosa hapo jaribu Kariakoo mtaa wa Nyamwezi zinapotokea daladala za Mwenge/Kariakoo kuna maduka mawili ya vitabu yanatazamana.
 
Mhh hiki kitabu ni cha zamani sana Msongoru. Nilikitumia zamani sana kwa sasa sina kumbukumbu kitakuwa upande gani. Je unakihitaji kwa sababu gani? (kama hutojali kujibu).
 
Mhh hiki kitabu ni cha zamani sana Msongoru. Nilikitumia zamani sana kwa sasa sina kumbukumbu kitakuwa upande gani. Je unakihitaji kwa sababu gani? (kama hutojali kujibu).

Nahitaji zaidi ya kimoja! Nina mpango wa kuhamia kijijini, hivyo kitanifaa huko. Nadhani hakuna zawadi kubwa kwa wanakijiji kama hiyo!! Ama sivyo?
 
Hiki nikitabu muhimu sana kwangu kwa sasa, nakitafuta kwa udi na uvumba! Tafadhali awezaye kukipata anielekeze please.

Unaweza ku-download bure hicho kitabu (Where There is No Doctor) hapa:
http://www.mrbill.net/survival/Where%20There%20Is%20No%20Doctor.pdf
 
Hapa tena naona kama link inasumbua. Bofya hapa chini:
[media]http://www.mrbill.net/survival/Where%20There%20Is%20No%20Doctor.pdf[/media], kama ikisumbua tena fanya copy halafu paste kwenye browser yako hapo juu kisha enter. Utakipata.
 
Though I was not thinking of possessing such a book I finally decided it promptly after reading first few pages. It is incredible in facts
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom